ATHARI ZA UGONJWA WA KORONA

ATHARI ZA UGONJWA WA KORONA

Posted  123 Views updated 12 days ago

ATHARI ZA UGONJWA WA KORONA

ATHARI ZA UGONJWA WA KORONA

      1.      Vifo

      2.      Kuathiri uchumi wa jamii na taifa kwa ujumla

 

MAMBO YA KUZINGATIA

      1.      Ugonjwa huu hauna tiba wala chanjo bali mgonjwa hutibiwa kulingana na dalili zitakazo jitokeza.

      2.      Hadi sasa ugonjwa huu uko nchini Tanzania, hata hivyo kutokana na mwingiliano mkubwa uliopo hasa kibiashara na kijamii kati ya Tanzania na nchi nyingine ni muhimu kuchukua tahadhari .

      3.      Uonapo mojawapo ya dalili za ugonjwa huu wahi kituo cha kutolea huduma za afya kilicho karibu.

      4.      Toa taarifa kwenye kituo cha kutolea huduma za afya uonapo mtu mwenye dalili za ugonjwa wa korona.

 

MAMBO YA KUFANYA MAENEO YA IBADA

        1.      Kuweka vifaa vya kunawia mikono na sabuni au vitakasa mikono(sanitizers).

        2.      Kuendelea kutoa elimu ya jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa korona.

        3.      Kutoa taarifa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vilivyo karibu muonapo mtu mwenye dalili za ugonjwa wa korona.

 

Prevention is better than cure


Your reaction?

1
LOL
0
LOVED
0
PURE
0
AW
0
FUNNY
0
BAD!
0
EEW
1
OMG!
0
ANGRY
0 Comments