TATIZO LA HORMONE IMBALANCE KWA WANAWAKE

NI tatizo linalo wakumba akina mama (wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

Posted  252 Views updated 24 days ago

TATIZO LA HORMONE IMBALANCE KWA WANAWAKE

TATIZO LA HORMONE IMBALANCE  KWA WANAWAKE

HORMONE IMBALANCE ;

NI tatizo linalo wakumba akina mama (wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

DALILI ZA HORMON IMBALANCE

§  kupungua hamu ya tendo la ndoa

§  kutoshika mimba au Mimba kuharibika kabla ya wakati na kutoka

§  mzunguko wa hedhi kubadilika badilika badilika

§  kuto pata usingizi vizuri

§  kuongezeka uzito

§  kupata choo kwa shida

§  mapigo ya moyo kuto kuwa sawa

§  maumivu wakati wa tendo la ndoa

§  maumivu ya kichwa

§  mafua ya Mara kwa Mara tumbo la hedhi

§  kupoteza kumbu kumbu

§  uchovu wa Mara kwa Mara

§  ngozi kavu sana

§  maumivi ya mifupa na viungo

§  kujisikia joto ghafra hasa wakati wa usiku

§  kuwa na mawazo na wasi wasi

§  kupata hedhi ya mabonge ya damu,HEDHI isiyoisha

Ukiona una dalili hizi basi jua una tatizo la hormone imbalance hivyo muone doctor mapema

Your reaction?

1
LOL
0
LOVED
0
PURE
0
AW
0
FUNNY
0
BAD!
0
EEW
0
OMG!
0
ANGRY
0 Comments