News
10, Oct 2019 06:56 AM
News
12, Dec 2019 05:12 AM
News
8, Aug 2019 09:40 AM
News
6, Jun 2019 05:11 PM

UGONJWA WA HOMA YA MAFUA MAKALI

Mafua Makali huambukizwa kwa njia ya hewa kwa kukohoa au kupiga chafya. Mafua haya husababishwa na kirusi aina ya Corona.

Posted  239 Views updated 1 month ago

UGONJWA WA HOMA YA MAFUA MAKALI

UGONJWA WA HOMA YA MAFUA MAKALI 

Mafua Makali huambukizwa kwa njia ya hewa kwa kukohoa au kupiga chafya. Mafua haya husababishwa na kirusi aina ya Corona.

DALILI ZA UGONJWA WA HOMA YA MAFUA MAKALI 

§  Kuumwa kichwa

§  Homa

§  Vidonda kooni

§  Mafua makali

§  Kupumua kwa shida

§  Kubanwa mbavu

§  Mwili kuchoka

§  Maumivu ya misuri

 

JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA HOMA YA MAFUA MAKALI UNAOSABABISHWA NA KIRUSI AINA YA CORONA

§  Nawa mikono kwa maji yanayotiririka na sabuni mara kwa mara

§  Funika mdomo na pua wakati wa kukohoa au kupiga chafya

§  Epuka kugusana na mwenye dalili za magonjwa ya njia ya hewa kama mafua au kikohozi.

 

Ukiona mojawapo ya dalili za ugonjwa huu, wahi kituo cha huduma za afya, vilevile toa taarifa kwenye kituo cha huduma za afya uonapo mtu mwenye dalili za ugonjwa huu.


Your reaction?

0
LOL
0
LOVED
0
PURE
0
AW
0
FUNNY
0
BAD!
0
EEW
0
OMG!
0
ANGRY
0 Comments